Hussein Mteti
Hii ni blog ambayo itakuwa inaangalia maswala mbalimbali hasa ya kitaaluma hivyo karibuni tujadiliani nini kifanyike kuboresha taaluma katika dunia ya leo
Friday, July 15, 2011
Sunday, June 5, 2011
MAISHA
Nilipokuwa mdogo nilikuwa naambiwa nawazazi mwanangu kuwa uyaone, nilikuwa najiuliza niyaone manini, nikabaki njia panda, ila siku zinavyoenda nagundua kumbeyalikuwa maisha.Ila bado nikawa naswali kuwa haya maisha ni kitugani sikupata jibu lake hadi leo hii nawaombeni waugwana mnaojua maana ya maisha muniambie ni kitu gani.
Maisha ya Mbongo kwa sasa yametawaliwa na cheti ambacho ni karatasi tu inayoandikwa na mbongo mwenzake na ujuzi alionao.Je hayo ndio maisha? kama ndio, vp tusiona vyeti maisha tutayapata wapi?haya basi nasisi wenye vyeti ndo umetoka chuo na cheti chako unaambiwa ajira uwe na uzoefu wa kazi usiopungua miaka mitano.je tutafika huko yalipo maisha kwa mdindo huu.
Maisha ya mtanzania eti lazima uwe na refa wa kukuchezeshea maisha yako refa naye anataka kidogo aweze kukuchezesha je kidogo nikitoe wapi haliyakuwa ndo nayatafuta maisha?
JE MAISHA YA MTANZANIA NIYAPI , YAKO WAPI NA ATAYAPATA KWA NJIA GANI?

Subscribe to:
Posts (Atom)